Skip to main content

GETI KALI Sehemu Ya 2

 

GETI KALI


Sehemu Ya 2


Mtunzi..... Mgosingwa


Simu No. +255714419487 WhatsApp


www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/


Ilipoishia Jana


"ivi huoni aibu kuuza simu kama hii"

"nina ahida kaka yangu, yaani nina shida ndio mana nauza bei yeyote ile"

Kiukweli ashura ni mzuri, ana umbo la kumuita kila mwanaume.... Na anajiheshim sana, na pia kalelewa katika mazingira ya kupenda dini japo haelekei huko masjidi.... Lakini anajielewa kiasi fulani.... 

"ahida gani?? mtoto mzuri kama wewe, siamini kama una shida"

Jamaa namuonea huruma huyuuuuuu yaani kampenda mtu mwenye matatizo chungu nzima... Yaani hana bahati labda Ashura akatae, na mimi nawatetea sana wasichana, hua sio kwa ridhaa yao kufanya mapenzi kwa pesa, hua ni matatizo tu sio kiwa wanapenda.... 

"Ahsante, ila inunue basi nikatatue matatizo yangu"

"ok nipe namba yako kwanza"

"sasa kaka namba ya nini tena"

"tafadhali sana..."

Ashura akiangalia nyuma, anaona mama yake ndio anazidi kunyong'onyea, afu keshajua kuwa kapendwa hapo alipo.. 

"lakini.... Laki... "

"lakini nini... Kwani kuna shida gani? Hebu shika simu weka namba zako" 

Yule jamaa, alitoa hio simu yake kubwaaa na kumpa ashura,... Ashura alianza kuogopa kuipokea ili aandike namba zake... 


SONGA NAYO....... 


Kiukweli wanawake ni viumbe wenye akili nyingi sana lakini pia wana akili chache sana... Mwanamke akiamua kabisa kufanya kitu na mwanaume fulani, ni lazima itakuwa hivyo hata iweje, kwahio hata wewe mwanaume ukijitupia mahala ambapo pana matatizo afu ukajitia kutongoza, heee huna bahati jamaa angu, huyo mtoto wa kike hata kama ana mpenzi, atasema hana, mana Wahenga walisema kuwa,.. HABA NA HABA HUJAZA KIBABA... Mambo ya wasichana wa siku hizi hayo


Sasa wakati jamaa anatoa simu yake kumbe ashura yeye alikuwa akijisemea kimoyomoyo kuwa,... 

"kuliko niuze hii simu.. Bora niwe nae sambamba, mana kajileta mwenyewe"

Hayo ni maneno ya ashura akijisemea kabla ya kupokea simu ya huyo jamaa,.. 

"lakini mi nauza simu tu"

"sihitaji simu mi nataka mawasiliano yako tu"

"aahhh basi niache"

"aah sina maana mbaya bibie"

"mi nataka niuze simu ili nitatue mambo yangu sa naona unanizuga tu apa"

Aliongea ashura wakati huo anafunga lemba lake na kutaka kuondoka... 

"skia basi... Nitakupa hio pesa uliotaka kuuzia hio simu"

"nipe sasa mama yangu anaumwa eti"

Jamaa mwenyewe kumbe choka mbaya, ni maneno mengi tu.. Jamaa kajipiga sachi na kutoa noti ya elfu 10 moja.... Kisha akampa, ashura hakuikataa ile pesa mana atilist itasaidia... 

"Lete hio simu yako.. Ila simu yangu ipo chaji sasa hivi"

"hakuna shida"

Ashura aliandika namba zake za simu kisha akampa simu yake... 

"hii hapa"

"waooo unaitwa nani vile"

"amina"

Ashura Alidanganya jina lake kwa huyo jamaa... 

Pale pale jamaa akabipu ile namba kweli ilikuwa ikiita... 

"namba yangu inaishia na 40, naitwa Abdallah"

"sawa kaka Ahsante"

Ashura alishukuru kwa kiasi hicho walichopata, mana hata ni daladala watapanda... Kitu cha kwanza alikwenda duka la dawa na kununua robo ya dawa, tena sijui kama hata robo imefika kweli.... Dawa hizo ziligharimu elfu saba, akabakiwa na elfu tatu ya nauli ya daladala... Ashura alimchukuwa mama yake pamoja na nusura kisha wakaondoka

"wifi, niliona upo na kijana pale"

"waapi, kajikwaa tu yule"

"Heeee, kajikwaa au hata wewe umejikwaa"

"nusura, ulifikiri mimi napenda kuwa na wanaume kwa wakati huu"

"sasa kumbe nini? Mana hata namba nimeona umempa"

"Weeeeee, nimpe namba yangu kabisaaa..."

Aliongea ashura kana kwamba pale jamaa kapewa bosheni ya namba... 

"sa mbona ulikuwa kama unaandika vile"

"nimempa namba ya kaka mudi"

"heeeeee, we wifi, ivi unamtakia kheri kweli huyo kijana wa watu"

"atajua mwenyewe, ananipaje elfu 10 sasa jamani na shida zote hizi"

Aliongea ashura wakati huo wapo katika gari aina ya daladala,... Mama alikuwa akiwasikia wasichana hao ambao ni watoto wake, ila hakuwa na la kusema mana hio hio ndogo aliopewa ndio imemsaidia kupata hata dawa... 


Huku baa, tena baa ya uhakika sio mchezo mchezo.. Yaani bia inayouzwa mtaani kwa elfu 2000, huku baa inauzwa elfu 5000,.. Afu hapo mezani kwa akina Mohammed pamezungukwa na vinywaji vya gharama tu, hakuna bia ya Tanzania hata moja hapo,... Yaani ni vile vinywaji vya ulaya ndivyo vinavyo nywewa hapa,.. Wasichana wazuri waliomzunguka Mohammed kila kona ya mwili wake,... Ilifikia wakati anawachukuwa wote na kuingia nao chumba kimoja,.. Kila mmoja alishika nguo yake,.. Mmoja kavua koti, mwingine suruali, mwingine shati, mwingine tai, mwingine bukta,.. Yaani walikuwa kama watano au sita hivi,... Baada ya hapo kila mwanamke alishika kiungo chake, japo wengi walikimbilia uume wa Mohammed, mana nae alikuwa sii haba... 


Basi wale wasichana kila mmoja alishika kipande chake na kuanza kumpa raha bosi wao.. Wakati huo Mohammed anakoroma kwa raha ya kushikwa shikwa kila kona ya mwili wake... Ikifika wakati wa kuwaingilia kimwili, analala yeye, kisha wanawake wanaingia kwa zamu... Yaani kila mwanamke anakaa sekunde 30 anatoka anaingia mwingine, hivyo hivyo mpaka aridhike... Afu mwisho wa siku anawalipa wote, kisha nae anapanda gari yake na kuondoka zake, mpaka sasa hatujui kama Mohammed kaoa au laa... Ila ni tajiri mkubwa tu... 


Sasa huku kwenye makazi magumu, ikiwa ni mida ya jioni.. Kama saa 10 na nusu hivi... Palikuwa na vijana wanne na kaka yao mmoja... Wakati huo walikuwa wakikusanya zana za kazi... Wengine wanakusanya mabereshi, wengine ndoo za kubebea zege, wengine wanahifadhi sementi iliobaki siku hio... Sehemu kama hio panaitwa SITE (SAITI) (SEHEMU YENYE KAZI ZA UJENZI).. Na hii ndio kazi anayofanya mdogo wake ashura... Vijana hawa sina maana kuwa ni ndugu lahasha bali ni vijana wanaomsaidia fundi, hua tunawaita SAIDIA FUNDI, ni kama vibaraka tu,... Basi walikusanya kila kilicho chao kisha kila mmoja akalipwa ujira wake wa siku hio, mana wanalipwa kwa siku shilingi elfu saba, kula ni juu yao.. Kiukweli pesa ilikuwa haitoshi kukizi mahitaji ya vijana hawa, ambao ni saidia fundi, mana fundi mwenyewe alikuwa analipwa elfu kumi na tano,... Na saidia fundi analipwa elfu saba pekee.... Vijana hawana la kusema mana ndio ujira wa kila siku, na ndivyo ilivyo hata kwenye masaiti mengine... Jirani na hapo kuna mama ntilie, kila kijana alikuwa analipa kile alichokula toka asubuhi, lakini alikuepo kijana mmoja ambaye yeye hakulipa,.. Kana kwamba hakula asubuhi wala mchana... Yeye aliiweka pesa yake mfukoni ili arudi nayo yote nyumbani... Lakini fundi wao hua anampenda sana huyu kijana mana katika wasaidizi wake wote, huyu kijana anampenda sana kwasababu anafanya kazi kwa bidii na istoshe anajielewa, japo ni kijana mdogo sana lakini ana majukumu kama mtu mzima... Alikuwa si mwingine bali ni SHARBIN RASHID KINGAZI (SHEBY)  lakini kwenye simulizi hii anatumia jina la RAJABU ukipenda muite RAJ au RAJU au RAJA kwa kifupi cha RAJABU.... 


"Raj?"

Fundi alimuita Rajabu, mana anamwonea huruma sana kwa wakati mgumu aliokuwa nao... 

"naam fundi"

Raj aliitikia kwa ustarabu aliokuwa nao,... Yaani ni mpole, hapendi ugomvi na mtu, anaipenda familia yake, na ndio mana mama ashura akasema muacheni Mziwanda wangu.. Sasa Mziwanda mwenyewe ndio huyu.. Kazi zake ni kubeba zege na kufanya kazi za kubeba mizigo pale wanapokuwa free kwenye saiti yao.. 

"shika hii elfu tatu.. itakusaidia"

"kwanini unanipa na hii elfu tatu, ingali kipato changu ni elfu saba tu"

"unajua raj,.. Katika vijana wangu wote, wewe unapiga kazi sana.. Mimi nakukubali sana raj... Kazana utakuja kuwa fundi mzuri sana hapo baadaye"

"Ahsante sana fundi"

"kesho uwahi zaidi, mana tunataka tupige bati mimi na wewe ili hawa wengine wapige plasta"

"sawa fundi, nitajitahidi kuwahi"

"sawa kesho basi"

"sawa... Siku njema kwako fundi"

Rajabu na fundi wake walikuwa ni watu wanaopendana sana, mana wote ni wachapa kazi.... Lakini ile elfu tatu, kumbe na wale wengine waliona akipewa elfu tatu... Hivyo wakaanza kujiuliza kwanini apewe elfu tatu yeye tu,.. Kwani kafanya kazi peke yake?? Hayo ni maswali kila mmoja wao wale vijana watatu... Ambao wa nne ni Rajabu.. 


Huku nyumbani mama anapata dawa, tena robo ya dozi,... Yaani hawakuweza kununua dozi nzima kwa kukosa pesa.... Walikuwa wapo nje wakipunga upepo, ikiwa inakwenda mida ya saa 11 na nusu hivi za jioni... Nusura anamuona Rajabu kwa mbali akiwa anarudi kazini na mzigo wake wa zana  za kazi akiwa kaubeba... Nusura ni mchumba wa Rajabu, ila sio kuwa ni mke alie tayari, lahasha... Bali ni mchumba tu... Na wanapendana kuliko maelezo,.. Nusura anakwenda kumpokea Rajabu. Wakati huo Ashura anacheka tu kwa upendo wa nusura na mdogo wake... Nusura ana kwao na ana kazi, lakini anashinda hapa saa zingine pia kulala hapa kwasababu ya mama mkwe wake anaumwa..... 

"habari ya kazi raj wangu"

Alisalimia nusura huku akimpokea fuko la zana za kazi,.. 

"salama tu sjui nyie hapa nyumbani"

"aahhh tunamshukuru Mungu japo mambo sio mazuri sana"

"kwanini yasiwe mazuri"

"mama anazidiwa mara kwa mara.."

Rajabu anaujua ugonjwa alionao mama yake... Ugonjwa unaotaka pesa nyingi sana hadi kupona

"Usijali nusura, atapona tu"

Alimpooza mpenzi wake, na kumuuliza kuwa

"leo umeenda kazini"

Aliuliza Rajabu mana ana shangaa mpaka sasa yupo na hua wanarudi saa 12 kwenye kazi yao ya cherehani

"sijaenda, nimeona nimsaidie wifi Ashura mana yupo peke yake tuu"

"ni sawa ila ukiona mama kapata nafuu nenda kafanye kazi"

"sawa mume wangu.. Ila najua dada yupo pale kazini"

"ok poa"

Rajabu alifika ndani na kumkuta mama yake yupo hoi jasho jingi sana,.. Yaani kazidiwa sasa hivi tu.. 

"mama, mama"

Aliita Rajabu wakati huo mama anajinyonga nyonga yaani haeleweki, 

"raj mwanangu.. Umerudi kazini"

"ndio Mama"

"sawa, uoge upumzike"

"sawa mama, lakini unajiskiaje"

Aliuliza Rajabu mana yeye mchana hakuwepo

"usijali mwanangu nipo salama tu"

Rajabu alimrudia dada yake na kumuuliza 

"ivi leo mumeenda hospitali"

Rajabu alimuuliza dada yake ambae ni Ashura,... 

"ndio, ila bado madaktari hawataki aende tena mana hatuna pesa"

"ivi mumempigia kaka mudi"

Mama kuskia mumempigia kaka mudi kaja juu 

"Rajabu?? Staki kusikia jina la huyo mshenzi.... Naomba mnyamaze hivyo hivyo"

"sawa mama"

Lakini Rajabu hakukubaliani na amri ya mama yake,... Rajabu alimwita dada yake pembeni na kumuuliza

"eti mliongea na kaka mudi"

Aliuliza Rajabu lakini Ashura hakuwa na jibu zuri kwa mdogo wake

"ndio, tulimpigia, lakini simu ilipokelewa na mwanamke... Na istoshe kuna maneno kayatoa machafu sana na wala sitamani hata kukaa na namba yake tena"

"ngoja mimi nimfuate nyumbani kwake"

Aliongea Rajabu huku akianza kupiga hatua... 

"raj please mdogo wangu, naomba Usiende... Usiende kabisa... Kaka mudi sio mtu kwa sasa... Hebu ona sisi sio watu wa kuishi kwenye nyumba kama hii ya matope.. Lakini toka apate pesa hajui kama ana familia yake"

"wacha tu Niende nami nikajionee"

"sawa, ila ujue hatuna cha kupika leo"

Aliongea ashura kana kwamba leo hakuna unga hata wa uji... Rajabu alitoa ile pesa yote na kumpa dada yake mbele ya mama yao na mchumba wake... 

"shika hii hapa elfu kumi... Ibajetini mana kesho sijui kama nitapata nyingine"

"Usijali wacha tupike mama ale... Lakini raj?"

Ashura alitaka kumkataza Rajabu asiende huko, lakini rajabu kamkonyeza dada yake akae kimya mama asijue.... 

Kijana anajua nyumbani kwa kaka yake japo hakuonyeshwa nae,... Na kaweza kukaidi maneno ya dada yake na kukimbilia kwa kaka yake, amuombe hata msaada juu ya ugonjwa wa mama yake.. 


Palikuwa ni mbali kidogo, hivyo raj alichelewa kiasi na kufika mida ya saa 12 na nusu ikiwa taa za getini zimesha waka... Mana ni kagiza kalikuwa kanaanza japo bado kidogo.. Hapo getini penyewe kuna kamera inayopeleka mawasiliano mpaka sebuleni.. Na wakati huo Mohammed alikuwa akiangalia mpira katika TV,.. 

Lakini ghafla tv ilibadirisha kuonyesha mpira na sasa ikawa inaonyesha nje ya geti, akamuona Rajabu ambae ni mdogo wake kabisa wa damu


SIMULIZI HII, INAPATIKANA YOTE KWA NJIA YA WhatsApp +255714419487


Na Kwenye App Ya CHOMBEZO MEDIA


Ingia playstore download CHOMBEZO MEDIA au Bonyeza hapa Chini


Imeandikwa na Mgosingwa Doctor Love


Inaendelea....... 


Comments

Popular posts from this blog

JAMANI ANKO Sehemu Ya 1

JAMANI ANKO Sehemu Ya 1 MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU:0655727325 Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa siku nyingi. Mwalimu alikuwa akifundisha lakini ni kama nilikuwa sielewi wala sisikii alichokuwa anaelezea. Mawazo yangu yote yalikuwa kwa Madam Jesca. Siku hiyo nilijisemea kuwa iwe isiwe lazima nimweleze ukweli na ikibidi siku hiyo hiyo yatimie ninayoyawaza kila kukicha. Madam Jesca alikuwa ni mwalimu aliyekuwa akitufundisha kwa muda tu baada ya kuwa amemaliza kidato cha sita. Wakati huo sisi tulikuwa kidato cha nne. Somo alilokuwa akitufundisha ni Kiswahili. Hatimaye mwalimu akatoka na baada ya nusu saa nikaondoka kuelekea nyumbani kwa madam Jesca. Niliingia baada ya kuwa nimegonga hodi. “We Joshua mbona muda wa vipindi hivi we umekuja huku..” aliniuliza huku macho yake yakionyesha mshangao wa waziwazi. Kanga yake aliyovaa ilikuwa imelowana na hivyo kusababisha niuone mstari wa chupi. Na kama hiyo haitoshi madam Jesca...

SECONDARY SCHOOL Sehemu Ya 1

SECONDARY SCHOOL Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp Inapoanzia Rasmiiii STORY HII INAITWA SECONDARY SCHOOL AU KWA KISWAHILI NI ( SHULE YA UPILI )..... KWAHIO PIA WAWEZA KUIITA HIVYO TU BASI Story hiii mimi ni mtoto wa kitajiri ile mbaya... na wakiume nipo mimi mwenyewe na nina dada zangu wawili wenye asili ya kiarabu. kwani mama yangu yeye pia ana asili ya kiarabu..... Ninae dada yangu ambae ana umri wa miaka 25 huyo ni wa kwanza na keshamaliza shule muda tu... kisha ninae dada yangu mwingine ambae tumefuatana.. yeye ana umri wa miaka 22 na yeye bado yupo kidato cha 4... afu anafatiwa na mimi kidume sharbiny rashidy mwenye umri wa miaka 20 na yupo kidato cha 3.... familia yetu ilikua ni familia ya kitajiri sana yaani tulikua ni matajiri waliopindukia.... Ila katika watoto wote wa mzee rashidy mimi peke yangu ndio nilikua nina rangi tofauti na dada zangu wote. Ila nyumba yetu imezungukwa na wafanyakazi wengi mno. kama kwa raisi vile kumbe ni kwa mtu tu wa ka...

MUUZA CHIPSI Sehemu Ya 1

MUUZA CHIPSI (MKE WA KAKA) Sehemu Ya 1 Mtunzi..... MoonBoy Simu No. +255714419487 WhatsApp www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/ INAPOANZIA RASMIIII Jamani Simulizi hii, sio moja, bali zipo simulizi mbili ndani ya moja... Kuna simulizi yangu moja iliitwa MKE WA KAKA hio simulizi inaendana na simulizi hii ya MUUZA CHIPSI, hivyo sikutaka simulizi zangu ziwe zinajirudia, hivyo nimeiweka sehemu moja zote mbili, mana stori za simulizi hizi zinaenda.. Hivyo ukisoma jua kua unasoma simulizi mbili ndani ya moja... Ila simulizi halisi ni MUUZA CHIPSI ikifuatiwa na MKE WA KAKA ambayo nayo ipo humu humu ndani,.   Na utaijua hapo itakapoanzia rasmi lakini mwanzo wa zote ndio, lakini pia MKE WA KAKA ina mwanzo wake huko mbele, hivyo nayo inaanzia hapa hapa....... Sasa ole wako uikose staki maswali mengi mana umekosa uhondo mwenyewe... Hivyo msije mkashangaa mke wa kaka kawa MUUZA CHIPSI.... ______________________________________ MUUZA CHIPSI Ni simulizi inay...